Video fupi inayomuonesha mwanadada Hadhara Charles Mnjeja kutoka Tanzania, akipepeta mpira kwa ustadi imepata umaarufu mkubwa katika mitandao ya kijamii. Rais wa Marekani Donald Trump alitambua kazi ...