Ibrahim Khan ni msanii wa mashahiri kutoka mjini Mombasa nchini Kenya, wiki hii imezuru nchini Tanzania na kukutana na mtangazaji wako Ali Bilali katika Makala ya Nyumba ya sanaa inayoendeshwa na ...