Idadi ya waliokufa kutokana na tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.7 katika kipimo cha Richter lililotokea katikati ya Myanmar ...
Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kuweka wazi maelezo ya kina ya mpango wake kwa ushuru wa forodha wa kutendeana leo Jumatano. Ikulu ya Marekani inasema utaanza kutumika mara moja.
Kampuni ya Rapidus ya Japani inasema itaanza kuendesha kiwanda cha semikondakta za nanomita 2 huko Hokkaido mwezi huu kama ...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy anasema atakutana na ujumbe kutoka Ufaransa, Uingereza na mataifa mengine keshokutwa ...
Walaji nchini Japani wanaoathiriwa na mfumko wa bei za vyakula watakabiliwa na hata gharama za juu zaidi mwezi huu wa Aprili.
Ufini ambayo ni nchi mwanachama wa Umoja wa Kujihami wa Nchi za Kaskazini mwa Atlantiki, NATO sasa inatumia droni za angani ...
Timu ya watoa tiba ya serikali ya Japani imeondoka nchini humo kuelekea nchini Myanmar ili kusaidia watu walioathirika na ...
NHK inajibu maswali yanayohusiana na maisha ya shule nchini Japani. Shule za msingi na sekondari za chini nchini Japani zina ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani Iwaya Takeshi anasema atazuru nchini Ubelgiji wiki hii kuhudhuria mkutano wa Mawaziri wa ...
Israel imeripotiwa kupendekeza siku 40 za kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza kwa mabadilishano ya takribani mateka 10 ...
Idadi ya vifo kutokana na tetemeko kubwa la ardhi lililotokea wiki jana nchini Myanmar imezidi 2,000 huku watu wengine ...
Mamlaka za Afya katika Ukanda wa Gaza zinasema zaidi ya watu 1,000 wameuawa tangu Israel ilipoanzisha tena mashambulizi ...