Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ametuma ujumbe kwa wanachama wasio waadilifu ndani ya chama ...
Katika kukabiliana na uhaba wa ajira Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) -Bara, Stephen Wasira amesema ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya waliochaguliwa kufanya usaili wa nafasi mbalimbali za kazi zilizotangwa kuanzia Februari 6 hadi 19 mwaka huu.
Wakati uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura mkoani Dar es Salaam ukihitimishwa kesho Machi 23, 2025, baadhi ya wananchi wameibua changamoto za kusibiri muda mrefu vituoni, ...
REFA asiye na historia nzuri na timu za Tanzania, Alhadi Allaou Mahamat kutoka Chad, ndiye amepangwa kuchezesha mechi ya ...
SIKU chache baada ya kuungana na Mashujaa FC, Kocha mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga amesema hawapi majukumu washambuliaji ...
Obasogie ameonyesha uwezo mkubwa wa kuchezea mpira kwa miguu na kupiga pasi ambazo zinafikia walengwa kwa usahihi kama ambavyo Diarra.
Dar es Salaam. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji, ameitaka Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Maabara ya Veterinari ...
Miradi mbalimbali ya nishati ya umeme nchini Pakistan, ikiwemo ule wa Neelum-Jhelum (NJHP) na mradi wa megawati 969 katika eneo la Jammu na Kashmir, inakumbwa na changamoto kubwa za uendeshaji.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imeondoa ...
Mbunge wa Siha (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amedai kuandikiwa barua na kamati ya nidhamu ya CCM ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesimulia alivyobebeshwa jukumu la kusimamia sekta ya maji akiwa Makamu wa Rais, baada ya kupewa ...